Usimamizi wa Wateja

Sajili, hariri, na fuatilia wateja wako wote kwa urahisi. Pata taarifa zote muhimu kwa click moja.

  • Sajili wateja mapya
  • Picha na vitambulisho
  • Mawasiliano ya haraka
  • History ya mikopo

Mikopo na Riba

Toa mikopo na riba moja kwa moja. Rekodi zote zinahifadhiwa otomatiki bila kosa.

  • Riba za auto-calculate
  • Madeni ya zamani
  • Ratiba ya malipo
  • Oto-update salio

Malipo na Marejesho

Fuatilia marejesho yote. Oto-update salio kila malipo. Hakuna kosa la kihesabu.

  • Risiti za moja kwa moja
  • Receipt kwa 88mm printer
  • Malipo ya sehemu
  • Alerts za malipo

Risiti na Mkataba

Generate risiti za moja kwa moja na mkataba wa mkopo kwa PDF. Print wakati wowote.

  • Mkataba wa mkopo
  • Risiti ya malipo
  • Statement ya wateja
  • PDF za print

Ripuoti za Kina

Pata ripuoti za wateja, mikopo, na faida. Data yako, maamuzi yako.

  • Ripuoti ya wateja
  • Ripuoti ya mikopo
  • Ripuoti ya malipo
  • Export kwa Excel

Usalama wa Juu

Data yako iko salama nasi. Backup kila saa, encryption, na ufuatiliaji wa kila mlipo.

  • Backup kila saa
  • Encryption ya juu
  • Session management
  • Audit trail

Kwa Nini Mikopo Pro?

Mikopo Pro imebuniwa kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati ya mikopo Tanzania. Mfumo wetu unakuja tayari na huduma zote unazohitaji - kutoka usimamizi wa wateja hadi kwa ripuoti za kina.

Sisi tunajua kwamba wakati ni fedha. Kwa hiyo, tumefanya mfumo uwe rafiki, wa haraka, na wa kuaminika. Wateja wote wanapendelea mfumo ambao haujavuruga na kazi yao ya kila siku.

500+
Kampuni
50K+
Wateja
1M+
Mikopo
99.9%
Uptimer
Dashboard Preview

Mikopo Pro vs Njia Ya Kawaida

Tofauti kati ya kutumia Excel/penseli na Mikopo Pro

Huduma Excel / Penseli Mikopo Pro
Usimamizi wa Wateja
Risiti za Auto
Mkataba wa PDF
Ripuoti za Kina
Oto-Calculate Riba
Backup Automatic
Risiti ya 88mm Printer

Jiunge na Wengine 500+ Kampuni

Anza kupima mfumo wetu leo. Hakuna malipo hadi uone unafaa.

Anza Sasa - Ni Bure!